• Njia

    Karibu kwa «NJIA»

    Nitawezaje kumpata Mungu ? Jifunze kumjua Yesu !

    Yesu anasema : Mimi ndiye njia, kweli na uzima !  Yohana 14:6

    Sio kupitia dini fulani, bali kupitia Yesu kama mtu ndio tunampata Mungu. Katika Matendo ya Mitume 2:37-38 wasikilizaji  wamekuwa na wasiwasi mno : Tufanye nini sasa ? wakauliza. Petro akawambia : Tubuni, Acheni dhambi zenu , na mubatizwe katika jina la Yesu Kristo mpate kusamehewa dhambi na mtapokea roho mtakatifu.

    Pata hati "KUMJUA MUNGU KIBINAFSI" hapa

    Tutawasiliana nawe ukituandikia barua pepe yako au nambari yako ya simu hapa!

     

     
    1 Beginn 2 Vollständig
    Nchi ambapo ninaishi